Tuesday, October 4, 2011

COMING SOON TEENSPOT MAGAZINE "WE DO IT FOR THE YOUTH"




This is upcoming Interactive magazine in the youth viewpoints, opinions, tastes, styles and so forth are expressed in the language they can understand. Its magazine that will appeal to your youthful taste.


          "WE DO IT FOR THE YOUTH"

Loan Alllocations Break-Down For First Year Mzumbe University 2011/12

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7G5Qyo8_kllcmCfAwuOki6AjYmtMPnHlseLfrFJGFEK3k7jIWcGKzsr5BD16bxVwR08jI8g6Fkcuio8gqOfUG2XOTF2_66LqumW4iKKKgXAXZ06O2e5Gzh4yLgyonrryiiJvnGIKOYyE/s1600/DSC_1209%255B1%255D+-+Copy.JPG

Kuona Kiwango cha Mkopo kwa Wanafunzi wa Mwaka Wa Kwanza Wa Chuo Kikuu Mzumbe kwa Mwaka Wa Masomo 2011/12 Bonyeza Link  Hapa http://mzumbe.ac.tz/documents/muloanboardlistbatch3.pdf

Mzumbe University First Year Selection For 2011/12 Full List Below!

http://www.dar411.com/2009/images/uploads/img240x250/uddd1.jpg
Kuona Orodha Kamili Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Mwaka Wa Kwanza Chuo Kikuu Mzumbe Kwa Mwaka Wa Masomo 2011/12 , Bofya /Bonyeza Link Hapa ttp://mzumbe.ac.tz/Selected_Candidates.htm

Breaking Neewz; Mamia Second Year Warejea Kufanya Supplimentaries, Wenyewe Wagoma Kuzungumza na Blog Wala Kupigwa Picha!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggmVuEyECJYWUoa1eOHd7YeFX0Vfqh2-QckBALKbZeb4a0K9dANKe5-xjV92oqae2FJbbN2g98kWx4qT9TzCrqz_2hX-AXqzsGtaPBCOrc9otq1wooPliOljrPJC6ppUEhx4n28YbXUXoW/s220/plm3+3.JPG
Mamia ya Wanafunzi wa Mwaka wa pili wamerejea chuoni hapa kwaajili ya kufanya Supplimentaries kutokana na kutofanya vizuri kwenye baadhi ya masomo. Baadhi ya wanafunzi wamegoma katakata kuzungumza na waandishi wwa Blog hii na wengine wameenda mbali kwa kugoma kupigwa picha huku wakipiga "mkwara mzito".

Sisi kama MUSO Link22 hatuoni sababu za msingi za wasomi hao kupanic badala yake tunawataka watulie na kusoma kwa bidii ili waweze kufaulu mtihani huo, tunatanguliza pole kwao lakini pia tunawatia moyo katika kipindi hiki kigumu ili Mungu awaongoze daima.

Rose Mary Mwakitwange Alivyoiteka Mzumbe University!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5KGzmGu6I4p6jUS8oNj_PafvgzsQgAk0bZpVM0mvyx1jzprKltnbw93oBh4kQZIEmo-3GzRheYdVgQa0l7KI44Bx85ErpZVAU2xjziNYIxjUqJQtI9Ss226nB-56IBnkthdsQgXgeZRA/s1600/Dsc00561.jpg
Zam Zam Ibrahim akikabidhiwa cheti na Mwanahabari RoseMary Mwakitwange  july20 mwaka 2011 katika semina ya Achivers Club(picha kwa hisani ya Michuzi Blog)

Barua Ya Wazi Kwa Mh Uswege na Futte; First Year Wajengwe Kisaikolojia!


Tunaandika Barua hii maalumu kwenda kwa rais wa MUSO pamoja na Waziri mkuu kutoa wito kwa viongozi hao wa MUSO kuwajenga kisaikolojia wanafunzi wa first year wanaotegemewa kuwasili chuoni hapa week chache zijazo.

Tunayasema haya kutokana na "mchecheto" uliowaangia baadhi ya mwaka wa kwanza ambao tumefanikiwa kuongea nao, hatupingi furaha yao kupangiwa Mzumbe la hasha! bali tunachojaribu kupinga hapa ni ile furaha kupitiliza kiasi cha kushindwa kuuona ukweli. hii ni moja lakini cha pili ni baadhi ya wanafunzi hao wa mwaka wa kwanza kumezeshwa mambo ya "kipuuzi" kuwa eti Mzumbe ni chuo kigumu sana.

Magwiji wa falssafa waliwahi kusema kuwa "You Are What You Think" kwa mantiki hiyo mawazo haya hasi ya kufeli yaweza kuwafanya baadhi yao wakafeli kweli ndiyo maana tunaandika kutoa wito kwa viongozi hao wakuu wa MUSO kufanya juhudi za dhati kuhakikisha ndugu zetu hao wa mwaka wa kwanza wanajengwa kisaikolojia ili waweze kusoma na kuishi vizuri hapa chuoni Mzumbe.

Celebrating Our Togetherness

Ona mambo haya mdau, picha ina tafsiri kibao, picha moja maana elfu moja, mimi sina la kusema nimeshakaanga mbuyu nawaachia wenye meno watafune, tupe maana yako, viva mzumbe!

Kamera Zetu Zipo Kila Sehemu, Mpaka Kwenye Historical Sites Hizi!


             Mashujaa hawa, ona, soma, elewa ,kamera zetu zipo everywhere kukuletea kila kitu!

Mwacheni Mungu Aitwe Mungu................!

Ndivyo wanavyosema watumishi hawa wa Bwana pale kamera yetu ilipowanasa pale NAH wakiimba na kumsifu Mungu.
Na hapa napo walikuwa wanamwimbia The Almighty God

Mr Njovu; Faculty Of Science And Technology Itazidi Kupaa!


                                  Mr Njovu S.K. akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa FST

Lecturer mkongwe ambaye pia ni Associate Dean wa Faculty Of Science and Technology hapa Chuo Kikuu Mzumbe Mr Njovu amewatoa hofu Wanafaculty hao kwa kuwaambia kuwa Faculty hiyo itazidi kupaa kila uchao endapo kutakuwa na Team working, ubunifu na moyo wa kujifunza kila siku.

Kauli hizo za busara za Mr Njovu zilitolewa hivi karibuni wakati wa kikao cha Mwalimu huyo pamoja na wanafunzi wa Faculty Of Science and Technoilogy uliofanyika LT2.

Blog hii inatoa pongezi kwa Mr Njovu sambamba na Wana FST ambao wanaingia katika rekodi ya kuwa Faculty ya kwanza kwa umoja wao chuo kikuu Mzumbe kufanya mkutano na Management.          
                                     Viva Mr Njovu, viva FST Mzumbe.

Monday, October 3, 2011

Join Us Today "The U8 Connect" Please Visit Our Site For More Info


http://www.dignityindying.org.uk/images/support-us-img.jpg
http://www.u8development.org

Regards,

ORESTES SOTTA
MANAGING DIRECTOR
SOTTA&PARTNERS CONSULTING LTD
P.O.BOX 494,MOROGORO,TANZANIA EAST AFRICA.
PHONE:+255 (0) 653 07 59 49
HEAD OFFICE LOCATION-RYMA RYM BUILDING NKOMO STRT