Onesmo Mpinzile mmoja wa wanasheria mahiri wa Mzumbe
Katika kile kinachoweza kudhaniwa kuwa ni mvutano wa kisheria tayari wadau wameanza kuisaka kwa udi na uvumba katiba ya MUSO ingawaje hawakuwa tayari kuieleza Blog hii nini hasa lengo lao? mfano siku ya jana pekee ni zaidi ya watu watano walifika MUSO office kuisaka katiba hiyo. Kumekuwa na tabia ya watu kuisaka katiba ya MUSO hasa inapofika wakati wa uchaguzi.
No comments:
Post a Comment