Tuesday, October 4, 2011

Mr Njovu; Faculty Of Science And Technology Itazidi Kupaa!


                                  Mr Njovu S.K. akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa FST

Lecturer mkongwe ambaye pia ni Associate Dean wa Faculty Of Science and Technology hapa Chuo Kikuu Mzumbe Mr Njovu amewatoa hofu Wanafaculty hao kwa kuwaambia kuwa Faculty hiyo itazidi kupaa kila uchao endapo kutakuwa na Team working, ubunifu na moyo wa kujifunza kila siku.

Kauli hizo za busara za Mr Njovu zilitolewa hivi karibuni wakati wa kikao cha Mwalimu huyo pamoja na wanafunzi wa Faculty Of Science and Technoilogy uliofanyika LT2.

Blog hii inatoa pongezi kwa Mr Njovu sambamba na Wana FST ambao wanaingia katika rekodi ya kuwa Faculty ya kwanza kwa umoja wao chuo kikuu Mzumbe kufanya mkutano na Management.          
                                     Viva Mr Njovu, viva FST Mzumbe.

No comments:

Post a Comment