Mamia ya Wanafunzi wa Mwaka wa pili wamerejea chuoni hapa kwaajili ya kufanya Supplimentaries kutokana na kutofanya vizuri kwenye baadhi ya masomo. Baadhi ya wanafunzi wamegoma katakata kuzungumza na waandishi wwa Blog hii na wengine wameenda mbali kwa kugoma kupigwa picha huku wakipiga "mkwara mzito".
Sisi kama MUSO Link22 hatuoni sababu za msingi za wasomi hao kupanic badala yake tunawataka watulie na kusoma kwa bidii ili waweze kufaulu mtihani huo, tunatanguliza pole kwao lakini pia tunawatia moyo katika kipindi hiki kigumu ili Mungu awaongoze daima.
No comments:
Post a Comment